Moja ya tukio lililoteka mitandao leo ni mchezaji mpya wa Simba, Shaaban Chilunda kuwa kwenye pozi la picha akiwa ameegemewa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa picha ya Rais Samia na kikosi cha Simba Uwanja wa Mkapa.
Mwananchi Digital imepata nafasi ya kuzungumza na Chilunda ambaye amezungumzia tukio hilo kwake lina maana gani na kipi atafanyia ile picha.
Ещё видео!