DALILI SABA ZA KUIJUA SAUTI YA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kutambua sauti ya Roho Mtakatifu katika maisha yako ya kila siku? Katika video hii ya kipekee, Mtumishi Innocent Morris anakushirikisha dalili saba muhimu za kuijua sauti ya Roho Mtakatifu.
Jifunze jinsi Mungu anavyonena kupitia Roho Wake, namna ya kuwa na usikivu wa kiroho, na jinsi ya kuishi maisha yaliyojaa hekima na mwongozo wa Mungu.
Usikose somo hili lenye nguvu litakalokupeleka kwenye kiwango kingine cha ukomavu wa kiroho! Hakikisha unatazama hadi mwisho.
Bonyeza link kujifunza somo hili sasa.
Usisahau kushare na watu wengine.
Chukua pen na karatasi ujifunze somo hili sasa.
⏯️ Usisahau kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya kiroho. Na pia like na kushare na watu wengine.
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
[ Ссылка ]
Facebook Link:
[ Ссылка ]
YouTube Link:
[ Ссылка ]
Tiktok Link:
[ Ссылка ]
Tazama sasa na uache Roho Mtakatifu akuongoze!
#SautiYaRohoMtakatifu #InnocentMorris #HolySpiritConnect
Ещё видео!