MNDOLWA Aeleza Msimamo wa CCM Kuhusu Ushoga
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa Ameeleza kuwa moja kati ya majukumu ya jumuiya yake ni kusimamimia maadili ya jamii yasiharibiwe na kukemea vitendo vyote vya uvunjifu wa maadili Vikiwemo vitendo vya ushoga.
Dk. Edmund Mndolwa Amezungumzia itikadi ya chama chake na msimamo wa chama hicho katika sakata la ushoga lililotikisa Nchi majumaa kadhaa nyuma.
Watch More Videos here: [ Ссылка ]
Watch More Videos here: [ Ссылка ]
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ]
Install Global App: iOS: [ Ссылка ] USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK [ Ссылка ]...
Ещё видео!