Aisha Masaka amefunga goli pekee na la ushindi kwa timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars dhidi ya Botswana katika mchezo wa kusaka tiketi ya Olimpiki mwaka 2024.
Huu ni mchezo wa mkondo wa pili uliopigwa kwenye Dimba la Taifa la Gaborone nchini Botswana na Tanzania kufuzu kwa jumla ya mabao 3-0 kufuatia ushindi wa 2-0 iliyoupata nchini Tanzania.
Ещё видео!