Mazoezi ya mwili iwe kwa kufanya kazi au kwa kukimbia au katika vituo vya mazoezi au nyumbani yanasaidia kupunguza uzito kwa kuunguza mafuta ya akiba katika mwili. Mfano kama unakula kiasi unachohitaji tu kwa kazi za kawaida na kisha ukafanya mazoezi,mwili utahitaji kuchukua nguvu toka katika mafuta ili kujazia upungufu. Mfano unaweza ukatumia kj 10 kwa mazoezi ya dk 30 mpaka dk 60. Hivyo ukifanya mara kwa mara kama si kila siku utapungua tu uzito.
Mazoezi rahisi kufanya ni kukimbia kila jioni au asubuhi kwa umbali wa km 1 mpaka 2 zinatosha. Lakini unaweza kwenda katika kituo cha mazoezi jioni au ukanunua vifaa vya mazoezi na kufanya nyumbani kama unaweza
Ещё видео!