Watetezi wa haki za binadamu katika Kaunti ya Migori wameibua wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa idadi ya wasichana wadogo wanaolazimishwa kukeketwa katika jamii ya Wakuria.
Kulingana nao, hali hiyo husababisha idadi kubwa ya wasichana ambao wamekeketwa kukosa kurejelea shuleni kutokana na madhara ya uhalifu huo. Wazazi wengi katika eneo hilo huwapeleka watoto wao nchini Tanzania ili kupashwa tohara kwa lazima.
Ещё видео!