Je ni nani aliidhinisha operesheni ya kijeshi mjini Garissa? Ndio baadhi ya maswali ambayo waziri msaidizi katika wizara ya ulinzi David Musila alitakuwa kujibu bungeni hii leo. Hisia kali zikithihirika wakati wa mjadala mkali uliofwatia, Musila asiweze kutoa majibu ya kutosheleza kwa baadhi ya maswali aliyotakiwa kujibu—na hatimaye kuliomba bunge kuzipa muda kamati mbili za bunge zilizotwikwa jukumu la kufanya uchunguzi swala hilo.
Ещё видео!