SIMBA YATAKA TATU LEO | “Sio timu ya kubeza” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiwazungumzia wapinzani wao CS Sfaxien kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) katika dimba la Benjamin Mkapa.
#CAFConfederationCup #CAFCC #CCC #KombeLashirikishoAfrika #SSC #SimbaSportsClub #CSCfaxien #SimbaSfaxien
Ещё видео!