Je, ilikuwaje Simba wakakosa ushindi Zambia? Huu hapa uchambuzi wa mchezo kati ya Simba na Power Dynamos Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa Septemba 16 Ndola nchini Zambia na kumalizika kwa sare ya 2-2.
Ndani ya studio yupo Clarence Kunambi, Ramadhan Mbwaduke na Nasongelya Kilyinga chini ya host, Hassan Ahmed
Sikia madini
Ещё видео!