Karibuni sana Wafuatiliaji wetu wa JUGO MEDIA Katika muendelezo wa Video zetu na Matukio yetu tunayokuletea hapa kila Siku. Leo tunakuletea Tamasha ya YESU KRISTU MFALME lililoandaliwa na Kwaya ya Mtakatifu Anthony wa Padua Magomeni na Kufanyika katika Parokia hiyoo ya Watakatifu Mashahidi wa Uuganda Magomeni. Tamasha hili limehusisha kwaya takribani 8 kutoka Parokia MBalimbali za Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Tunakukaribisha sana kufuatilia Pamoja Nasi. Ubarikiwe
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: [ Ссылка ]
Facebook: [ Ссылка ]
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Ещё видео!