Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uzinduzi wa Jubilei Kuu 2025 Kutoka Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua -Jimbo Katoliki Tanga tarehe 29.12.2024 kuanzia saa mbili na nusu Asubuhi (02:30).
Misa hiyo inatarajiwa kuongozwa na Mhashamu Thomas John Kiangio Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga. Pia kutakuwa na Ufunguzi wa Mlango wa Kanisa Kuu kama Ishara ya Uzinduzi Rasmi wa Jubilei Kuu 2025 katika Jimbo Katoliki Tanga
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
st.anthonymedia12@gmail.com
Ещё видео!