Karibu! Hii ni Daily News Digital ikiwa ndo tumeuanza mwaka 2019 leo tunakusogezea orodha ya marais 10 wasomi zaidi barani Afrika, Chanzo kikiwa ni Mtandao wa answersafrica.com
Kabla sijaenda mbali, Mwanafalsafa nguli Plato anaamini kuwa akili na elimu ni mambo muhimu katika uongozi bora. Na mtandao huu unaeleza kuwa japokuwa nchi nyingi za Afrika, zinahesabika kuwa hazijaendelea pamoja na kuwa na kiwango cha elimu ya wastani, lakini dunia imeshuhudia viongozi wasomi zaidi duniani wanatoka Afrika.
Kwa mujibu wa mtandao wa answersafrica.com, Rais Magufuli ndiye Rais anayeongoza miongoni mwa marais wasomi zaidi Afrika kwa sasa.
Ещё видео!