Timu ya KMKM ya visiwani Zanzibar imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa barani Afrika #CAFCL kwa kukubali kichapo cha mabao 2-1 nyumbani kutoka kwa St. George ya Ethiopia.
Magoli ya St George yamefungwa na Binyam Damte na Natnael Zeleke huku goli pekee la KMKM likipatikana kwa penati dakika ya 75 kupitia kwa Salum Salum.
Ni mechi ya mkondo wa kwanza ya hatua ya awali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Ещё видео!