Mahojiano maalum na Mwalimu wa mazoezi, Denzel Trainer, ambaye ametrendi katika mitandao ya kijamii akiwapa mazoezi ya kibabe watu mbalimbali maarufu wakiwamo nyota wa soka kama Pacome Zouzoua, Clatous Chota Chama wa Yanga, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ wa Simba na wengineo, amesema kabla ya kuanza mazoezi na mchezaji yeyote huwa anaomba muda wa kuangalia udhaifu wa mchezaji huyo ili aweze kujua ni aina gani ya mazoezi anatakiwa kumpa.
Denzel amefichua hayo alipozungumza na Mwananchi Digital.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Ещё видео!