Kizaazaa kilishuhudiwa katikati mwa jiji la Nairobi huku maafisa wa usalama na waandamanaji wakikabiliana kutwa nzima wakati wa maandamano ya kupinga serikali. Jiji la Nairobi liligeuka kuwa uwanja wa makabiliano na kufuka moshi angani kutokana na juhudi za maafisa wa polisi kurusha maji ya vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji
Ещё видео!