Mwenyekiti wa kamati Taifa, Shitindi Venance amesema kipindi cha mwisho wa mwezi huu wanafunzi wa elimu ya juu watatakiwa kufika katika vituo vyao vya kazi vilivyosambaa nchi nzima ili kuendelea kupata mafunzo kwa vitendo ila wamesikitishwa kwamba wakati wakijiandaa na hilo hakuna mchakato wowote unaoendelea kupelekea kupata fedha hizo
Ещё видео!