CCM MANYARA WAADHIMISHA MIAKA 46 YA CHAMA KWA KISHINDO, UJUMBE MZITO WATOLEWA....
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg Peter Toima amezindua sherehe za miaka 46 toka kuasisiwa kwa chama hicho huku akieleza mafanikio makubwa yaliyotokana na utekelezaji wa wa ilani ya chama hicho.
Akizungumza na wanachama wa chama hicho Mwanyekiti wa CCM mkoa wa Manyara Amesema nivema wanachama wakaelewa niya njema ya chama hicho.
Pia amewataka wanachama kuungana kwa pamoja kuanzia ngazi za matawi kuanza ujenzi wa majengo ya ofisi za chama hicho huku alizipongeza baadhi ya matawi na kata zilizoanza ujenzi wa ofisi za CCM katika maeneo yao.
Aidha ametoa wito kwa viongozi na wanachama kuendelea kulipa ada za uanachama pamoja na kubuni vyanzo vipya vya Mapato ili kuendelea kukiimarisha chama hicho.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: [ Ссылка ]
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:[ Ссылка ]
⚫️ iOS:[ Ссылка ]
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: [ Ссылка ]
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: [ Ссылка ]
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: [ Ссылка ]
⚫️ GLOBAL RADIO TV: [ Ссылка ]
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: [ Ссылка ]
⚫️ Subscribe Global TV [ Ссылка ]
Ещё видео!