Watu watano wakiwemo waganga wawili wa jadi wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Misungwi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya wanawake wanane kwa imani za kishirikina.
Watu hao ambao walikuwa wakitafutwa tangu mwaka 2013 wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya wanawake wanane kwa kuwakata kwa mapanga, kuwanyofoa sehemu zao za siri na matiti wakidaiwa kuviuza viungo hivyo kwa waganga wa kienyeji.
Ещё видео!