Lishe bora kwa watoto ni miongoni mwa mambo yanayochangia pakubwa ukuaji mzuri. Mtoto anayepata lishe bora yaani yenye virutubisho muhimu anakuwa katika nafasi nzuri ya kukua akiwa na afya, akili nzuri na asiyesumbuliwa na maradhi. Lakini japo wazazi wengi wanafahamu hili ni wachache wanaojua aina ya vyakula wanavyostahili kuwapa watoto wao ili wakue wakiwa na afya njema. Katika siha na amaumbile hii leo Mwanahamisi Hamadi anazungumza na mtaalamu wa lishe ambaye anatueleza kwa kina lishe bora ya mtoto na faida zake.
Ещё видео!