Msimamizi wa uchaguzi katika majimbo ya Same Magharibi na Mashariki , Anastazia Tutuba amemtangaza Dk.David Mathayo wa CCM Jimbo la Same Magharibi kuwa mbunge mteule wa Jimbo hilo kwa kupata kura 24260 dhidi ya mpinzani wake Gervas Mgonja wa Chdema aliyepata kura 758.
Katika matokeo ya ubunge Jimbo la same Mashariki amemtangaza Anna Malechela wa CCM kuwa mbunge mteule wa Jimbo hilo kwa kupata kura 26225 dhidi ya mpinzani wake wa Chadema Naghenjwa Kaboyoka aliyepata kura 8836
MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA SAME MASHARIKI
Теги
tume ya uchaguzi zanzibartume ya uchaguzi 2020tume ya uchaguzi zanzibar 2020tume ya uchaguzi zectume ya uchaguzi ajiratume ya uchaguzi nafasi za kazitume ya uchaguzi zanzibar nafasi za kazitume ya uchaguzi tanzania barakikao cha tume ya uchaguzitume ya uchaguzi dodomatume ya uchaguzi dar es salaamtume ya uchaguzi dodoma leolive tume ya uchaguzi dodomatume ya uchaguzi imeanzishwa mwaka ganitaarifa kutoka tume ya uchaguzi