Habari? Salaam kutoka FOMA ENTERTAINMENT. Tafadhali confirm kama mnahitaji huduma ya SMS. Huduma hii mnakuwa mnatumia jina lenu kwenye SMS kama zile za VODACOM, NMB, CRDBBANK nk. Faida yake mnakuwa mnawatumia wateja wenu ofa mbalimbali za punguzo la bei, kuwatakia heri katika sikukuu mbalimbali kama vile Eid, Christmas nk. Lakini pia kuwakumbusha wapangaji kila kipindi cha kulipa kodi kikikaribia au kufika ili waweze kulipa.
Lakini pia mnawezakuset automatically kwaajili ya kuwashukuru wateja wenu, kuwapa taarifa mbalimbali za huduma kwa njia ya SMS.
Huduma hii ni TSH 30,000 tu kwa mwezi au TSH 300,000 tu kwa mwaka mzima. Hivyo ukilipia kwa MWAKA mzima unasave TSH 60,000.
Baada ya hapo mnakuwa mnalipia Vocha tu ya SMS. Ambayo gharama zake ni kama ifuatayo:
SMS (1- 500) ni Tsh 60 kila SMS,
SMS (501 - 1000 ) ni Tsh 55
SMS (1001 - 5000) ni Tsh 50
SMS (5001 - 10000) ni Tsh 45
SMS (10001 - 29999) ni Tsh 40
SMS (30000 - 50000) ni Tsh 35
SMS (50001 - 100000) ni Tsh 30..
Wasiliana nasi Whatsapp +255757432348 au kupitia e-mail info@fomaentertainment.com
Ещё видео!