Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, wallace Karia ndani ya studio za 107.3 #UfmRadio amefunguka mengi ikiwemo kanuni inayowabana wachezaji kuingia mikataba binafsi na makampuni kinzani na mdhamini mkuu wa ligi, siri ya mafanikio kwa vilabu vya Tanzania kwenye michuano ya CAF, mkakati uliopo kuepusha vilabu visikwame kusafiri kwenye mashindano ya CAF, kinachowakwamisha waamuzi wa Tanzania kuitwa kwenye mashindano ya CAF, ligi ya muungano, hatma ya michuano ya CECAFA ikiwemo #KagameCup na mengine mengi..
Host ni Omary Katanga
Ещё видео!