Bila WOGA, Mbunge AMLIPUA Waziri Bungeni "Una DHARAU, Umesema RAIS Hana Hela"
Mbunge wa jimbo la segerea, Bonnah Kamoli, amesema amechukizwa na kitendo cha Waziri anayeshughulikia Miundombinu cha kukataa kuwalipa fidia wananchi wake kwa kigezo cha kuwa Segerea kuna rushwa..
Mbunge Kamoli ameyasema hayo Bungeni ambapo pia amesema Waziri huyo alipokutana nae alimuonesha dharau kwa kumuuliza kwani yeye ni Mbunge na kisha kumpa majibu ya kuwa hawezi kulipa na Rais Magufuli hana pesa...
#BUNGENIDODOMA
Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Globa
Ещё видео!