Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imesitisha zoezi la udahili wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2018/2019 katika vyuo vinne na kuamuru wanafunzi wa Shahada ya Kwanza wanaoendelea na masomo kuhamishwa huku vyuo viwili vikisitishiwa udahili kwa program za ngazi zote.
Vituo vilivyositishiwa udahili vimegusa program tisa huku Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki cha Mtakatifu Fransisco kilichopo Ifakara na Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mihayo cha Tabora vikisitishiwa udahili wa ngazi zote.
Ещё видео!