ni katika sherehe za kuwapongeza Askofu Msataafu Paul Ruzoka na Askofu wa Jimbo kuu katoliki la Tabora Cardinary Protace Rugambwa, walipotembelea jimbo katoliki la Kigoma ambako ndiko alikozaliwa Askofu Ruzoka lakini pia Askofu Rugambwa amewahi kufanya utume wake Kama Askofu katika Jimbo la Kigoma
Watoto wa utoto mtakatifu wa Yesu Parokia ya Kigoma Mjini Jimbo katoliko la Kigoma walipata nafasi ya kutumbuiza wimbo huu wa kuwapongeza Maaskofu hawa
Ещё видео!