Karibu Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) usome Bachelor degree in Tourism and Hospitality management with Apprenticeship. Dirisha la tatu la udahili linatarajiwa kufunguliwa kuanzia tarehe 25 -29 Septemba 2023.
Wahitimu wote wenye sifa wanakaribishwa kufanya udahili kupitia Tovuti yetu www.iaa.ac.tz mara tu dirisha litakapofunguliwa.
Wanafunzi wote watakaochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja (multiple selections) watapaswa kuthibitisha udahili wao (admission confirmation) kupitia namba zao (codes) watakazopata kutoka TCU kabla au ifikapo tarehe 25- 30 Septemba 2023
Kwa Taarifa Zaidi Tafadhali Tembelea Tovuti yetu: www.iaa.ac.tz au wasiliana nasi kupitia namba 0742833444.
Ещё видео!