Wahamiaji haramu 12 kutoka nchi za Rwanda Burundi na Somalia wamekamatwa wakiwa katika mabasi ya abiria yanayofanya safari zake kati ya Dodoma na Tunduma.
Wahamiaji hao wamekamatwa baada ya msako uliofanywa na askari wa kitengo ya uhamiaji katika kituo cha Makambako mkoani Njombe.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp
Ещё видео!