Kwenye kipindi hiki, Osman Kazi na jopo lake wanaanza kwa kupitia mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake kati ya Simba Queens vs JKT Queens iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la KMC.
Mechi nyingine ni Azam FC vs Iringa United (CRDB Bank Federation Cup) na Dodoma Jiji vs Azam FC (NBC Premier League).
Hii ni #KipyengaChaMwisho kila Alhamisi saa 4:00 usiku.
Ещё видео!