Bunge limeziagiza kamati zake zinazosimamia masuala ya fedha na matumizi ya serikali za LAAC, PAC na PIC kuifanyia uchambuzi ripoti ya serikali ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge, kuhusu ripoti ya mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali, CAG ya mwaka wa fedha wa 2020/2021 na baadaye kuwasilisha taarifa ya utekelezaji bungeni.
Ещё видео!