Salum Kihimbwa dakika za jioooooooni amewanusuru kichapo Fountain Gate kwa goli la ‘free-kick’ na kufanya mechi iishe kwa sare ya 2-2 kwenye Dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara..
Waliotangulia na Mashujaa kupitia kwa Seif Karihe dakika ya 15, kisha Hassan Ali akaongeza la pili dakika ya 28.... lakini Fountain wakaanza na goli la Nicholas Gyan dakika ya 34.
Ещё видео!